Niombeeni ndugu zangu, nina ugonjwa wa ajabu

Bangi bana!
 
Hili fumbo lako sijalielewa
 
TOKA HAPA USWAZI NENDA HUKOHUKO KWA MATAJIRI WENZAKO.
 
Dj punguza scratch afu ongeza sauti hizi mbwembwe zako tunazikataaa😂😂😂
 
Hilo sharti namba 6 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kidukulilo kumbe ulibadili jina mheshimiwa?
 
Hivi Lugano ni jina la Mbeya au Bukoba? kama Bukoba sio mbaya ila kama ni Mbeya plz .......plz...... plz....huu uzi haukufai!!!
 
Threads zako huwa zina uhalisia fulani hivi wa wale raia wenye pesa za kutosha...
 
Nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naona kuna baadhi wamefika hatua ya kumtukana mleta mada

Kiukweli mimi huwa naburudika sana na story zake yaani napenda sana kuzisoma, kwa hili mkuu Bill Lugano kafanikiwa,

Yaani niwakumbushe wanajf wenzangu kwamba msichukulie SIRIAZ sana maana mleta mada yupo hapa kutuburudisha ili tupunguze stress za January

Tuendelee kuburudika na Bill Lugano/kidukulilo
 
Bill Lugano ni zaidi ya William Shakespeare
 
Niliangalia documentary, kuna Mnigeria yuko kwenye oil business. Akitaka kwenda Marekani anatumia private jet. Ameahidi vijana wa Nigeria, yeyote atakae pata admission Havard atamlipia ada mpaka anamaliza shule.
Duuuuh! Sio poa aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…