Wilson Gamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 808
- 878
Mimi siyo mwanachama wa chama chochote cha siasa ila ni mfatiliaji mzuri wa masuala ya siasa.Mbowe na Lisu ni viongozi wazuri na wote wamepitia mengi sana ila kwa ukomavu na utulivu wa mambo nafasi ya mwenyekiti bado mbowe atabaki kuwa the best.Niishie hapo ni mtizamo wangu tu mawazo bila kupepesa macho.