Kun Jr
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 700
- 362
Kutokana na habari nyingi kuhusu matokeo kidato cha nne mi naona kwamba yalikuwa yatoke jumatatu mara jumatano mara leo alhamisi mi ninalohoji ni moja tu hizi habar mnazipata wapi mbona umma wa watanzania hawazipati au ni kuwaweka watu roho juu hasa kidato cha nne 2012 kama hamjui siku matokeo yatatoka kaeni kimyaa tu kuwasubiri necta wizara