NIONAVYO: Matokeo Kidato cha nne 2012 kizungumkuti kuanzia wananchi hadi wizara+necta

NIONAVYO: Matokeo Kidato cha nne 2012 kizungumkuti kuanzia wananchi hadi wizara+necta

Kun Jr

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
700
Reaction score
362
Kutokana na habari nyingi kuhusu matokeo kidato cha nne mi naona kwamba yalikuwa yatoke jumatatu mara jumatano mara leo alhamisi mi ninalohoji ni moja tu hizi habar mnazipata wapi mbona umma wa watanzania hawazipati au ni kuwaweka watu roho juu hasa kidato cha nne 2012 kama hamjui siku matokeo yatatoka kaeni kimyaa tu kuwasubiri necta wizara
 
Back
Top Bottom