Nionavyo mimi, CCM ya sasa ni kama iliyokuwa Chadema ya Mbowe.

Benson Mramba

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
766
Reaction score
1,884
Kila ninavyojaribu kutathimini na kufanya hisabati zangu za siasa naona similarities nyingi sana.

Kubwa kabisa ni kitu kilikuwa kinaitwa Kamati ndogo ya Kamati Kuu (Decision Making group) na Chadema ni Msingi (Network formation). Wanachama wengine na viongozi walibakia kuwa watekelezaji na wafuasi tu wanaoelea elea.

Kwa chama cha namna hiyo kwa kiongozi usiekuwepo kwenye hivyo vyombo viwili ni mambo mawili kwako it is either you fight or die. Or die fighting.

Otherwise hutalamba keki yoyote na utaandamwa mwanzo mwisho. Ukisema ni shida na ukinyamaza ni shida
 
Siasa za kiafrika ni za ******* sana. Kila mtu anataka uingozi ili aibe. Wakishaonja utamu wa wizi tu kuwayoa iahitaji bunduki na si karatasi. Polepole hata ajiuzulu hakuna impact yoyote itakayotokea.
 
Kila ninavyojaribu kutathimini na kufanya hisabati zangu za siasa naona similarities nyingi sana.

Kubwa kabisa ni kitu kilikuwa kinaitwa Kamati ndogo ya Kamati Kuu (Decision Making group) na Chadema ni Msingi (Network formation). Wanachama wengine na viongozi walibakia kuwa watekelezaji na wafuasi tu wanaoelea elea.

Kwa chama cha namna hiyo kwa kiongozi usiekuwepo kwenye hivyo vyombo viwili ni mambo mawili kwako it is either you fight or die. Or die fighting.

Otherwise hutalamba keki yoyote na utaandamwa mwanzo mwisho. Ukisema ni shida na ukinyamaza ni shida
Aisee kumbe mbowe pamoja na kumpigania kote kule??
 
Back
Top Bottom