Nionavyo mimi, hakuna nchi inaongoza kwa Wanawake kutongozwa na Wanaume wengi kwa siku kama Tanzania

VentureCapitalist

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
403
Reaction score
545
Hii ni independent study yangu.

Nimeweza kubaini mwanamke wa kitanzania akiwa pisi kali, sio wanaume chini ya 20 watajaribu kuchukua namba kwa siku. Vile vile akiwa sura ya kawaida sio chini ya wanaume 2. Ni mazingira ya kutokuwepo mapenzi ya dhati kama nchi zingine. Na ugumu wa maisha hupelekea wanawake wengi nchini, kujiweka wazi kwa kijana yoyote mwenye pesa.

WANAUME INABIDI TUWE INTELLIGENT, TUSIWAFANYE WANAWAKE WAJIONE WAZURI SANA KWA KUWAPAPARUKIA! KUMBUKA takwimu zangu ukiwa unatongoza mwanamke HAUPO peke yako! Ishi kwa akili ..na wanawake!
 
Hiyo kweli mbona inajulikana kuna demu wa kikorea alikuwa anasema life la Korea ni la ubize sana,

Hakuna kupigiana simu mda wa kazi na ukipiga uwe na kitu cha maana sio kuuliza matokeo ya mpira na ni mara chache kupokelewa simu.

Kila mtu yupo bize huoni watu mtaani mambo ya kutongoza hakuna kwasababu kila mtu yupo bize,

Usipofanya kazi unaonekana wa ajabu sana
Alishangaa alipokuwa anatongozwa kila siku kipindi anasoma Tanzania UDSM na ameyapenda maisha ya Tanzania mpaka leo yupo bongo licha ya kumaliza masomo.

Anaitwa yuka mastura Instagram
 
Naungana nawe kwa aya ya mwisho, japo ni uongo ila kuwapaparukia wanawake inawafanya wajione mali sana…. na hii ni kwa wote KABLA ya 'kuwala' tunawajaza sana.
 
kabla ya 'kuwala' unatakuwa ujinadi kama simba dume.
 
Hiyo kweli mbona inajulikana kuna demu wa kikorea alikuwa anasema life la Korea ni la ubize sana,

Hakuna kupigiana simu mda wa kazi na ukipiga uwe na kitu cha maana sio kuuliza matokeo ya mpira na ni mara chache kupokelewa simu.

Kila mtu yupo bize huoni watu mtaani mambo ya kutongoza hakuna kwasababu kila mtu yupo bize,

Usipofanya kazi unaonekana wa ajabu sana
Alishangaa alipokuwa anatongozwa kila siku kipindi anasoma Tanzania UDSM na ameyapenda maisha ya Tanzania mpaka leo yupo bongo licha ya kumaliza masomo.

Anaitwa yuka mastura Instagram
100%
 
Back
Top Bottom