VentureCapitalist
JF-Expert Member
- Mar 12, 2018
- 403
- 545
only weak people watatishika..Usitutishe
Bongo kila mtu ni mtafiti ila hana documentation 😂😂Hizi tafiti nyingine hizi🤨🤨
kabla ya 'kuwala' unatakuwa ujinadi kama simba dume.Naungana nawe kwa aya ya mwisho, japo ni uongo ila kuwapaparukia wanawake inawafanya wajione mali sana…. na hii ni kwa wote KABLA ya 'kuwala' tunawajaza sana.
we ni mtafiti wa emoji?Bongo kila mtu ni mtafiti ila hana documentation 😂😂
wahenga husema lisemamwalo lipo.Mpaka leo ile Penati wanasema tulipendelewa.
100%Hiyo kweli mbona inajulikana kuna demu wa kikorea alikuwa anasema life la Korea ni la ubize sana,
Hakuna kupigiana simu mda wa kazi na ukipiga uwe na kitu cha maana sio kuuliza matokeo ya mpira na ni mara chache kupokelewa simu.
Kila mtu yupo bize huoni watu mtaani mambo ya kutongoza hakuna kwasababu kila mtu yupo bize,
Usipofanya kazi unaonekana wa ajabu sana
Alishangaa alipokuwa anatongozwa kila siku kipindi anasoma Tanzania UDSM na ameyapenda maisha ya Tanzania mpaka leo yupo bongo licha ya kumaliza masomo.
Anaitwa yuka mastura Instagram
za magenius tu hahaha!Hizi tafiti nyingine hizi🤨🤨
we hujiamini ?Serikali itakuwa imeweka mazingira mazuri kwa watu kujamiina
100%Tafiti kama tafiti.