Niongee na graduates: Ni biashara bora na rahisi ambayo unaweza ukafanya online 2025

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,811
Reaction score
3,888
Niongee na graduates: ni biashara bora na rahisi ambayo unaweza ukafanya online 2025. Hii ni fursa ambayo unaweza kufanya kwa mtaji mdogo sana. Gharama pekee utakayoweka ni muda wako.

-dn22xg.jpg

Kwanza kuna biashara za aina mbili online.

Kuuza products na kutoa huduma

Tutaziangalia zote👇👇

Tofauti ya biashara ya kuuza product na kuuza huduma.

Product ni bidhaa ambayo unaiuza kwa mtu moja kwa moja

Inaweza kuwa physical product au digital lakini ukishamuuzia mtu mmemalizana.

Physical product kama dawa za asili,
Digital ni kama ebook

Zote hizi zinahitaji 👇

👉Mtaji wa kuwekeza
👉Kulipia matangazo

Zinawafaa watu ambao hawana muda

Mfano unaandaa product yako kwa elf 20

Unalipia tangazo kwa elfu 20

Unauza kwa laki moja

Kuna faida ya elfu 60.

Au digital products unaandaa na kurusha matangazo, unasubiri faida yako.

Biashara ya kuuza huduma

Hii inahitaji sana uwe na muda
(Inawafaa freelancers na jobless)

Mtaji wake ni muda wako na pesa ya matangazo.

Hii tunaitoa kwa wafanyabiashara au watu ambao hawana muda.

Mfano social media marketing, media buying, graphic and branding.

Kwahiyo kama hauna muda na una mtaji, fanya biashara ya kuuza product. Tafuta product kali inayouza sana.

Weka bajeti ya matangazo, anza kuuza

Kama una muda ila hauna mtaji
Anza kuuza huduma kwa kwa kutoa muda wako.

Hakuna biashara ambayo haihitaji muda kwahiyo huo ndo mtaji

Kwahiyo ni biashara gani nzuri kufanya 2025?

Kwasababu ya changamoto ya mtaji,
Unahitaji kuanza na kutoa huduma.

Kwasababu inahitaji tu muda wako na ujuzi wako.

Ni huduma ambayo inaboa kuifanya ila huwezi kukosa kazi.

Mfano: Kutengeza short form contents kwa wafanyabiashara (za tiktok, youtube shorts, reels)

Kwanini

Kwasababu hakuna gharama yoyote
Ni rahisi kupata wateja
Bado soko ni jipya kabisa

Hapo utaongezea na content creation na social media marketing.

Utahitaji kujua vitu hivi👇

👉Video editing (canva na Capcut)
👉Kuandika copy
👉Kutumia hooks
👉Kufanya Outreach kutuma dms

Kwa wafanyabiashara, wanauza products, agency owners, wanarusha matangazo fb wote.

Ukweli ni kuwa wafanyabiashara wote wanateseka sana kupata wateja👇

Uzuri wa kutoa huduma za online

Ni unakuwa unajifuza kila kitu na kila mteja anakufundisha kitu kipya

Unahitaji kuwa na social media accounts x, LinkedIn, insta, tiktok, fb.

Tumia bots kwa ajili ya kutuma meseji kwa watu.

Jifunze skills nyingine kilingana na demand.

Mwisho kabisa unahitaji kuwa bora ili watu wakubali kukupatia kazi

Kuwa professional, kuwa wa tofauti, kuwa na speed.

Hiyo huduma pekee itakufanya ufike mbali bila mtaji wowote.
 
View attachment 3276855

Barikiwa mkuu, Mkuu natamani kujua jinsi ya kulipia matangazo kwenye social media lakini sijui unalipiaje. Any help please.
 
Kuna mtu akisoma hivi anajuwa ni gafla anapata wateja na anapata pesa. 😂😂

Cha kuongezea hapa ni kwamba.

1. Soma kwanza jifunze juzi na chagua juzi ambayo unaona ni rahisi kwako kuifanya.

2. Baada ya hapo fanya kwa kujitolea ili uweze kuona ni kweli unauwezo. Mfano nitaongelea kwa graphics designer. Hapa design logos bure na posters kwa marafiki na hata ndugu zako then ukiona umeivaa hama.

3. Jifunze marketing walau uwe unajuwa ABC kama vile principal za marketing na mambo ya price.

Then ingia vitani.

Online ni kama tu offline ni media imebadilika ila binadamu ni yule yule.

Kazana soma na pambana bila kukata tama. Matokeo ndani ya miezi sita utayaona.
 
Back
Top Bottom