Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Dah mkuu sio vizur hvoMkuu we ni maskini Sana Sasa hpo mtaji unaonekana ni laki 5 kiufupi we ni machinga na ofisi Kama choo Cha stendi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah mkuu sio vizur hvoMkuu we ni maskini Sana Sasa hpo mtaji unaonekana ni laki 5 kiufupi we ni machinga na ofisi Kama choo Cha stendi!
Safi sana, kwenye masoko wanasema huwezi kumhudumia kila mtu lazima uchague market niche uliyoitarget kuuza bidhaa yako hivyo kwa kuwa tayari umeshaanza. Bila shaka una list ya makundi ya watu unaowahudumia zaidi, fanya hivi kwa makundi hayo angalia unaweza weka bidhaa gani ili ziendane nao.Wakuu habari..
Nina ka ofisini , huu ni mwezi wa 3 tangu nianze hii biashara ya mayai.
Sasa kwenye hii frem niongeze bidhaa gani nyingine , ? inayo endana na hii ya mayai.View attachment 2056973
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
safi sana broh, nimekupata vyema sana..Safi sana, kwenye masoko wanasema huwezi kumhudumia kila mtu lazima uchague market niche uliyoitarget kuuza bidhaa yako hivyo kwa kuwa tayari umeshaanza. Bila shaka una list ya makundi ya watu unaowahudumia zaidi, fanya hivi kwa makundi hayo angalia unaweza weka bidhaa gani ili ziendane nao.
Mfano,
Kuna kundi la wachoma chipsi weka viungo vyote vya chipsi, mishikaki pamoja Vifaa vya kufungia chipsi i.e foil na bahasha zile za bidhaa
Umesema wamama ntilie, hawa wawekee mafuta, mchele ikiwezekana vinywaji baridi kama wengi hawamudu friji kuwa nazo maana wateja watataka vinywaji baridi
Kundi lingine hawa ni mabachelor me na ke i.e brother men na sister du, hili kundi bwana wanataka ofsi safi nakishi kibao angalia namna ya kufix hili kwenye ofsi yako ukikamata kundi hili ongeza huduma ya e money hapo tayari ni mwendo wa kupiga noti tu.
Kila raheri kaka pole pole tutafikia kilele cha mafanikio.
Fungua kiwanda cha kupika chips mayai na kavu. Hata kama sio eneo hilo unaweza tafuta eneo lingine. Yani tayari mali ghafi ya kiwanda unayo ni wewe tu!Wakuu habari..
Nina ka ofisini , huu ni mwezi wa 3 tangu nianze hii biashara ya mayai.
Sasa kwenye hii frem niongeze bidhaa gani nyingine , ? inayo endana na hii ya mayai.View attachment 2056973
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Broiler nafuga mwenyewe zaman nilikuwa nafuga wengi.baada ya bei za vifaranga kupanda sasahiv nafuga 100-150 kwa mwez mara tatu najiuzia mwenyewe 7000-8000 wale wanene kabisa hadi 8000(nawatunza hadi siku ya 35) mfano tarehe 21/11/2021 niliingiza vifaranga nimeanza kuchinga tarehe23/12/2021 hadi leo nimechinga wamwisho.naongezaga mfuko mmoja wa ziadasafi sana, hao broilers unanunuaje na kuuzaje?
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Nichek pm, kama hautojalimayai unauzia wapi na unachukulia wapi
Wakuu, nimeanza na mafuta ya kula, naona yanaenda vizuri kabisa
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Soon hizi bidhaa zitakuwa liquid goldI like this idea
Ni mwaka mmoja umepita mkuu, ofisi umerekebisha.?
Mmmmh ,,ungemshauri tu kwamba aiboreshe ofisi ,si kwa maneno hayo jamnMkuu we ni maskini Sana Sasa hpo mtaji unaonekana ni laki 5 kiufupi we ni machinga na ofisi Kama choo Cha stendi!
Huyu usingemjibu, hana adabu.
Acha unaaa, wapi machafu? Umejuaje kama hana wateja? Kama una taaluma ya kujua ulozi msaidieMbona ofisi chafu sana mkuu!?,yaani ofisi inakuweka mjini inakuwa chafu namna hiyo halafu ukikosa wateja utasema umelogwa?