We dume zima utasomaje kombi ya kike hiyo?

Wana JF nilikua naomba mniorodheshee topics za kidato cha tano za kiswahili, history & geography

Perry;8827397]We dume zima utasomaje kombi ya kike hiyo? Serikali haikupanga combination ya kike wala ya kiume hizo ni fikra duni fikra hizo ndizo zinazosababisha wavulana wengi kufeli kutoka na kukomaa na sayansi wakati hawawezi eti arts ni ya kike, kaka funguka akili achana fikra zako, haya me nimepeta kwenda A-LEVEL we ulioganda kwenye sayansi una zero nani mwenye faida? some time we ni fld, halafu unakurupuka kuongea2 bila malengo me na focus future na nina malengo yangu so ha2fanin kama huna ushaur bora upige kimya,
dogo andika vizurii basi....!usiwe mkali ukipewa challenges na great thinkers.
HGK ni nzuri kwako eti kwa sababu hio ndo umebalance kwenye tokeo lako this is poor reasoning!!! Labda nikuulizee tuu kutoka moyoni mwako ungependa kuwa nani au kufanya kazi zipi hapo baadaee????
USHAURI; HGK nzuri, HGL nzuri, HGE nzuri, HKL nzuri, PGM. EGM. PCM. PCB CBM. pia nazo ni nzuri. Ila miongonii mwao kuna combinations ambazo ni best ones kwa kuangalia wepesi wa kuwa na future nzuri hapo baadae .........! Factor like
ufaulu,kuimudu comb,kuwa na referee wa ajira after masomo (uhakika wa kazi)., remains constant
for me HGE or HGL better than HGK kama utapangiwa hgk ukifika shule you may change
just mawazoo yangu
Wana JF nilikua naomba mniorodheshee topics za kidato cha tano za kiswahili, history & geography
ntafute nkupe vitabu vya history 1 na 2 vya nyirenda ukatoe copy
We dume zima utasomaje kombi ya kike hiyo?
HGK ya kijinga soma HGL ndo nzuri