Niorodheshee topics za Hgk

Niorodheshee topics za Hgk

Shayfy

New Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
2
Reaction score
0
Wana JF nilikua naomba mniorodheshee topics za kidato cha tano za kiswahili, history & geography
 
wewe @1 ziko one and two, mfano geog one pekee kuna: physical and practical ambapo physical kuna EARTH SYSTEM, MATERIALS OF THE EARTH,GEOMORPHOLOGY,LAKES,SOIL,CLIMATOLOGY na practical, kuna MAP,PHOTOGRAPHY, RESEARCH,SURVEY,STATISTICS, hapo bado geography 2,
 
We dume zima utasomaje kombi ya kike hiyo?
 
snag;8826802]wewe @1 ziko one and two, mfano geog one pekee kuna: physical and practical ambapo physical kuna EARTH SYSTEM, MATERIALS OF THE EARTH,GEOMORPHOLOGY,LAKES,SOIL,CLIMATOLOGY na practical, kuna MAP,PHOTOGRAPHY, RESEARCH,SURVEY,STATISTICS, hapo bado geography 2, big up mkuu maana nsha ona pa kuanzia but ingekua poa zaid kama ungemalizia na geography 2
 
Perry;8827397]We dume zima utasomaje kombi ya kike hiyo? Serikali haikupanga combination ya kike wala ya kiume hizo ni fikra duni fikra hizo ndizo zinazosababisha wavulana wengi kufeli kutoka na kukomaa na sayansi wakati hawawezi eti arts ni ya kike, kaka funguka akili achana fikra zako, haya me nimepeta kwenda A-LEVEL we ulioganda kwenye sayansi una zero nani mwenye faida? some time we ni fld, halafu unakurupuka kuongea2 bila malengo me na focus future na nina malengo yangu so ha2fanin kama huna ushaur bora upige kimya,
 
=mpigamsuli;8844502]HGK ya kijinga soma HGL ndo nzuri, HGK Ndiyo comb. iliyo balance so sina budi kuisoma kwani nyingine zimekataa, wala hata cjilaum sana kwani siyo sawa na comb. kutobalance kabasa, BUT also if u like HGL a' m like HGK, kwani mwanamke niliye mpenda mm yawezekana kwa mwingine ni kinyago2 wat2 hatufanani kila m2 na chaguo lake, U HGL, A'm WITH HGK
 
Perry;8827397]We dume zima utasomaje kombi ya kike hiyo? Serikali haikupanga combination ya kike wala ya kiume hizo ni fikra duni fikra hizo ndizo zinazosababisha wavulana wengi kufeli kutoka na kukomaa na sayansi wakati hawawezi eti arts ni ya kike, kaka funguka akili achana fikra zako, haya me nimepeta kwenda A-LEVEL we ulioganda kwenye sayansi una zero nani mwenye faida? some time we ni fld, halafu unakurupuka kuongea2 bila malengo me na focus future na nina malengo yangu so ha2fanin kama huna ushaur bora upige kimya,

dogo andika vizurii basi....!usiwe mkali ukipewa challenges na great thinkers.
HGK ni nzuri kwako eti kwa sababu hio ndo umebalance kwenye tokeo lako this is poor reasoning!!! Labda nikuulizee tuu kutoka moyoni mwako ungependa kuwa nani au kufanya kazi zipi hapo baadaee????
USHAURI; HGK nzuri, HGL nzuri, HGE nzuri, HKL nzuri, PGM. EGM. PCM. PCB CBM. pia nazo ni nzuri. Ila miongonii mwao kuna combinations ambazo ni best ones kwa kuangalia wepesi wa kuwa na future nzuri hapo baadae .........! Factor like
ufaulu,kuimudu comb,kuwa na referee wa ajira after masomo (uhakika wa kazi)., remains constant

for me HGE or HGL better than HGK kama utapangiwa hgk ukifika shule you may change

just mawazoo yangu
 
HGK na HGL ni kitu kimoja dogo ndo mana hata chuo kikuu corse zake zinafanana so sioni umuhimu wa kubishana kuhusu hilo hapa
 
Wana JF nilikua naomba mniorodheshee topics za kidato cha tano za kiswahili, history & geography

ntafute nkupe vitabu vya history 1 na 2 vya nyirenda ukatoe copy
 
dogo andika vizurii basi....!usiwe mkali ukipewa challenges na great thinkers.
HGK ni nzuri kwako eti kwa sababu hio ndo umebalance kwenye tokeo lako this is poor reasoning!!! Labda nikuulizee tuu kutoka moyoni mwako ungependa kuwa nani au kufanya kazi zipi hapo baadaee????
USHAURI; HGK nzuri, HGL nzuri, HGE nzuri, HKL nzuri, PGM. EGM. PCM. PCB CBM. pia nazo ni nzuri. Ila miongonii mwao kuna combinations ambazo ni best ones kwa kuangalia wepesi wa kuwa na future nzuri hapo baadae .........! Factor like
ufaulu,kuimudu comb,kuwa na referee wa ajira after masomo (uhakika wa kazi)., remains constant

for me HGE or HGL better than HGK kama utapangiwa hgk ukifika shule you may change

just mawazoo yangu

kama unaweza toa hyo h&k afu we chem&bio upate kitu kzma chenye future nzur kwan hupend kuwa mfamasia,muuguzi mwenye degree,dokta(binadam&mifugo),geologist,nk..znduka ila ukija ukaze otherwise utaishia kuwa mwalimu
 
Back
Top Bottom