michaelmanumbu
Member
- Dec 21, 2012
- 5
- 1
kama unaweza toa hyo h&k afu we chem&bio upate kitu kzma chenye future nzur kwan hupend kuwa mfamasia,muuguzi mwenye degree,dokta(binadam&mifugo),geologist,nk..znduka ila ukija ukaze otherwise utaishia kuwa mwalimu
Lazima usome physics ili usomee udaktari wa binadamu
snag;8826802]wewe @1 ziko one and two, mfano geog one pekee kuna: physical and practical ambapo physical kuna EARTH SYSTEM, MATERIALS OF THE EARTH,GEOMORPHOLOGY,LAKES,SOIL,CLIMATOLOGY na practical, kuna MAP,PHOTOGRAPHY, RESEARCH,SURVEY,STATISTICS, hapo bado geography 2, big up mkuu maana nsha ona pa kuanzia but ingekua poa zaid kama ungemalizia na geography 2
si lazima sana kcmc,bugando huku wamejaa MD waliosoma CBG...
.
Kuna kombi za ajabu tu CBM , PGA, PGE, CPA n.k
sijui watakaosoma watapiga mishe gani!
.
HGK ya kijinga soma HGL ndo nzuri
Wana JF nilikua naomba mniorodheshee topics za kidato cha tano za kiswahili, history & geography
Jamani humu kuna watu wanajua kukatisha tamaa watu! mtu yupo vizuri masomo ya art then anaambiwa eti HGK ni comb ya kike, pambafuuuuuuu@ perryUtasoma lakini?
Perry;8827397]We dume zima utasomaje kombi ya kike hiyo? Serikali haikupanga combination ya kike wala ya kiume hizo ni fikra duni fikra hizo ndizo zinazosababisha wavulana wengi kufeli kutoka na kukomaa na sayansi wakati hawawezi eti arts ni ya kike, kaka funguka akili achana fikra zako, haya me nimepeta kwenda A-LEVEL we ulioganda kwenye sayansi una zero nani mwenye faida? some time we ni fld, halafu unakurupuka kuongea2 bila malengo me na focus future na nina malengo yangu so ha2fanin kama huna ushaur bora upige kimya,
Wewe ndo inabidi uzindue vizuri akili yako, nani amekwambia ukisoma HGK utaishia kuwa mwalimu?? huna logic.kama unaweza toa hyo h&k afu we chem&bio upate kitu kzma chenye future nzur kwan hupend kuwa mfamasia,muuguzi mwenye degree,dokta(binadam&mifugo),geologist,nk..znduka ila ukija ukaze otherwise utaishia kuwa mwalimu
Wewe ndo inabidi uzindue vizuri akili yako, nani amekwambia ukisoma HGK utaishia kuwa mwalimu?? huna logic.
Hahahahaha we ni uncircumcised baboon, aliyekwambia me nasoma HGK nani? au ww ni demu wake na rafiki yangu! nina wasiwasi na wewe kama hujazungusha O level!leo ndo nakutana na Isaac Newton aliyesoma HGK..dah..!
HGK ya kijinga soma HGL ndo nzuri
Hahahahaha we ni uncircumcised baboon, aliyekwambia me nasoma HGK nani? au ww ni demu wake na rafiki yangu! nina wasiwasi na wewe kama hujazungusha O level!
Kweli mkuu nimekua hadimu kiukweli, kitabu mkuu kinanibana na hii wiki tumefunga xcul ndo maana nimerejea jamvini,!Mkuu isaack upo kitambo sana sijakuona jamvini
ni kweli wakuu angesoma HGL ipo vizuri, akitaka materials ninayo ani Pm! ( mbezi beach high school product, form Five HGL)yah hapo umemwambia ukweli kaka....akaze HGL inakuwa bora zaidi huko mbeleni
Kwani sayansi inamsaada gani hapa nchini kama hata viberiti tunatoa kenya na India? Vijiko vinatoka china hata saa tunaagiza kutoka nje. Bora arts japo masomo ya porojo tunapata wanadiplomasia kama Membe.