Niorodheshee topics za Hgk

Niorodheshee topics za Hgk

kama unaweza toa hyo h&k afu we chem&bio upate kitu kzma chenye future nzur kwan hupend kuwa mfamasia,muuguzi mwenye degree,dokta(binadam&mifugo),geologist,nk..znduka ila ukija ukaze otherwise utaishia kuwa mwalimu

Lazima usome physics ili usomee udaktari wa binadamu
 
snag;8826802]wewe @1 ziko one and two, mfano geog one pekee kuna: physical and practical ambapo physical kuna EARTH SYSTEM, MATERIALS OF THE EARTH,GEOMORPHOLOGY,LAKES,SOIL,CLIMATOLOGY na practical, kuna MAP,PHOTOGRAPHY, RESEARCH,SURVEY,STATISTICS, hapo bado geography 2, big up mkuu maana nsha ona pa kuanzia but ingekua poa zaid kama ungemalizia na geography 2

wala hata stanii "to what extent does the theory of plate tectonic portray the present landforms in Africa?...jipange sana dogo geo huku advance sio lele mama...
 
HGK ya kijinga soma HGL ndo nzuri

.
.
Afu nione tuiweke Facebook acc yako vizuri!
Mana jamaa! Watazidi kutizama kila unachokifanya Na kuchukua picha zako! Nione tuiweke flesh! Mkuu kama utahitaji
.
 
Perry;8827397]We dume zima utasomaje kombi ya kike hiyo? Serikali haikupanga combination ya kike wala ya kiume hizo ni fikra duni fikra hizo ndizo zinazosababisha wavulana wengi kufeli kutoka na kukomaa na sayansi wakati hawawezi eti arts ni ya kike, kaka funguka akili achana fikra zako, haya me nimepeta kwenda A-LEVEL we ulioganda kwenye sayansi una zero nani mwenye faida? some time we ni fld, halafu unakurupuka kuongea2 bila malengo me na focus future na nina malengo yangu so ha2fanin kama huna ushaur bora upige kimya,

chukua LIKE yangu shay2! kuna mijitu inajua kukatisha watu tamaa humu ndani!
 
kama unaweza toa hyo h&k afu we chem&bio upate kitu kzma chenye future nzur kwan hupend kuwa mfamasia,muuguzi mwenye degree,dokta(binadam&mifugo),geologist,nk..znduka ila ukija ukaze otherwise utaishia kuwa mwalimu
Wewe ndo inabidi uzindue vizuri akili yako, nani amekwambia ukisoma HGK utaishia kuwa mwalimu?? huna logic.
 
Kwani sayansi inamsaada gani hapa nchini kama hata viberiti tunatoa kenya na India? Vijiko vinatoka china hata saa tunaagiza kutoka nje. Bora arts japo masomo ya porojo tunapata wanadiplomasia kama Membe.
 
Hahahahaha we ni uncircumcised baboon, aliyekwambia me nasoma HGK nani? au ww ni demu wake na rafiki yangu! nina wasiwasi na wewe kama hujazungusha O level!

Mkuu isaack upo kitambo sana sijakuona jamvini
 
Kwani sayansi inamsaada gani hapa nchini kama hata viberiti tunatoa kenya na India? Vijiko vinatoka china hata saa tunaagiza kutoka nje. Bora arts japo masomo ya porojo tunapata wanadiplomasia kama Membe.

.
Mkuu we unaacha kujifikiria mwenyewe unaanza kuifikiria nchi kama Tanzania khaaaaa!
.
Hii nchi haieleweki eleweki ila ukisoma vyakueleweka ndipo utaielewa hii nchi! Utakula pesa wewe na familia yako !
Achana na kuifikilia hii nchi
.
Na nyerere alikosea sana kudai uhuru mapema!
 
Jamaa kashajikubal na Hgk sasa mane no ya nn ya kashfa jama,elim tuliyo ipata hata Kama ni ndogo kuwa kimawazo bas.
 
Back
Top Bottom