Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 892
- 683
Kwa muda sasa nimekuwa na tatizo la kila nipatapo homa lazima nitokwe na vidonda mdomoni tena vidonda hivyo hunisumbua sana kupona ikiwa ni pamoja na kuwasha sana, naomba msaada nini cha kufanya jamani.