Nipe chorus..

Nipe chorus..

Mistari imeshiba ila naomba nitoke nje ya mada kidogo.. Kuna ngoma sijui wameimba kundi gani inaanza na "Party people" halafu na neno "like uuhh uuhhh".. Ni kama wanaongelea watu fulani wanapati baada ya likizo au wamemaliza University maana kuna sehem jamaa mmoja anaspell U.N.I.V.E.R.S.I.T.Y

Najua JF imejaa wakongwe wa mambo mengi OLDSKUL HIP HOP ikiwa moja ya hayo mambo, naombeni mnisaidie
Hayo maneno ukitupia google unaupata wimbo wote.
 
Back
Top Bottom