Nipe faida/hasara za kulala kwenye Vitanda hivi

Nipe faida/hasara za kulala kwenye Vitanda hivi

Miaka ya nyuma walilalia vitanda vya 3*6, nadhani ilipelekea mahusiano ya wanandoa kudumu, imagine wanakorofishana asubuhi ila usiku ndio hivyo tena kitanda hakiruhusu kila mtu kuchukua upande wake, so wanalala kwa kukaribiana kabisa, na kwakua mablanket yalikua adimu iliwalazimu kukumbatiana kulipunguza. Ndo maana wanandoa zamani walikua na uwezo wa kukorofishana leo ila kesho wakaamka kitu kimoja tena


Hizi 6*6 kiukweli sivielewi, heri 5*6


NB:- I dont stand to be corrected!
 
miaka ya nyuma walilalia vitanda vya 3*6, nadhani ilipelekea mahusiano ya wanandoa kudumu, imagine wanakorofishana asubuhi ila usiku ndo hivo tena kitanda hakoruhusu kila mtu kuchukua upande wake, so wanalala kwa kukaribiana kabisa, na kwakua mablanket yalikua adimu iliwalazimu kukumbatiana kulipunguza. Ndo maana wanandoa zamani walikua na uwezo wa kukorofishana leo ila kesho wakaamka kitu kimoja tena


hizi 6*6 kiukweli sivielewi, heri 5*6


NB:- I dont stand to be corrected!
Kamaliza kila kitu tayari
 
2½ ni vizur zaidi sababu vinahamasisha migusano.. hata kama hamuongei lazima mtasemeshana tu
 
6×6 inawapa Uhuru wa kuvunja amri 6 bila kusita...
Ni nzuri Sana

Na 3×6
Inawapa mipaka katika mihemko👨‍❤️‍💋‍👨ya ndani...

3×6 lazima ziwe🛏️ mbili 🛏️
Zilizo kaa mbalimbali ila wakati wa mechi vinaunganishwa na kupata6×6
Bada ya tendo mnarudisha Kila moja mahala pake na
Hii ndo rahaa ya 3×6
Hamlali na mke kitanda kimoja...
 
⁴ 𝕜𝕨𝕒 ⁶ 𝕟𝕕𝕠 𝕜𝕚𝕥𝕒𝕟𝕕𝕒 𝕓𝕠𝕣𝕒 𝕜𝕨𝕒 𝕨𝕒𝕟𝕒𝕟𝕕𝕠𝕒
 
Back
Top Bottom