klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
mwalim wangu aliniambia suala lolote ambalo linamalizia kwa kuuliza ngapi? basi ujue linahitaji calculation. acha nikabebe kalkuleta yangu nikuje. stay tunedKwa wale wan aojua lugha ya King'eng'e (English) Badili sentensi ifuatayo iwe kwa lugha ya kiingereza
"BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI?"
Nipati jibu hapo!!!
Ukisema uibadilishe kama ilivyo utaishia kuongea broken. Unaweza ukasema "father, among your children in which position am I?" ndio atakujibu, "you are first", you're fifth", "you're third" etc.
Duh! hii kiongozi inaonyesha ndio ya school bus kabisa..lol!FATHER I IS CHILD YOUR OF HOW MANY?...
Angalia kwenye dictionary ka unabisha...
father i is child of you how many?Kwa wale wan aojua lugha ya King'eng'e (English) Badili sentensi ifuatayo iwe kwa lugha ya kiingereza
"BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI?"
Nipati jibu hapo!!!