Nipe jina FM Radio

Nipe jina FM Radio

tz watu waajabu sana ndo maana nilihama. wabishi mpaka basi badala ya kufanya utafiti hahaha haya bana mpaka tcra wanakuja kwa inspection nadhani hata vifaa vitakuwa vimeoza au kuchakaa hahaha all de best

wewe unaendesha kazi kwa remote unategemea nini? watu wanaomba leseni ndani ya mwaka wanakamilisha kila kitu wewe unalialia tu na kuiponda nchi yako huko ulikokimbilia unafikiri kulijengwa na nani?!!

cc: Radio Producer njoo usaidie watu huku wanalialia wana miaka mitano "wanafuatilia" tcra
 
Last edited by a moderator:
Mwambao tayari kuna radio Tanga inatumia ilo jina kaka. Ila ni jina zuri
 
Habari wadau wote jamvini. Radio mpya ya kisasa inategemewa kufunguliwa mkoani Tanga mwanzoni mwa 2015 hivyo tunaomba mawazo yenu kwenye jina la Radio. Tumeona ni vyema tukachanganya mawazo kwenye kutafuta jina la Radio hii. Yeyote atayetoa jina ambalo litaonekana linafaa kutumiwa na kituo hiki cha radio basi ataalikwa kuhudhuria ufunguzi na pia atabaki kwenye kumbukumbu ya kituo chetu. Mawazo yenu ni muhimu sana kwa wakati huu. Karibuni

mwachalika, Ni tofauti na hiyo ninayosikia inaitwa TK Fm? Anyway i have been in tanga for several years, jina linategemra na aina ya radio commercial & entertainment?, Community? au Religious sambamba na target audience and coverage pia.

Kwa kifupi kama kama ni commercial and Entertainment unaweza kuiita majina yafuatayo:-

1. N-Link Fm (Northern Link Fm)
2. Link Fm stereo
2. Fact Fm stereo
3. Base FM stereo
4. Real Fm stereo
5. Shock Fm stereo
6. TA Fm stereo (Tanga fm Radio)
7. Shangwe Fm
8. Latest Fm stereo (L fm stereo)
9. Kunani Fm stereo
10. Bravo fm stereo.
.......
.......
.......
Yapo memgine mengi

Ikipata FQ majina yanaweza boreshwa zaidi.

Pia ukihitaji programming ya vipindi, segments with full contents and operating manual nipo full jamaa, i have been kwenye hiyo field for several years kbl ya kuachana nayo miaka michache iliyopita.

Nilifanya such programming pale Breeze Fm barabara ya 3 na walifanikiwa sana kbl ya kuboronga na kufilisika hatimaye kupoteza kbs wasikilizaji.

Karibu sana mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Habari wadau wote jamvini. Radio mpya ya kisasa inategemewa kufunguliwa mkoani Tanga mwanzoni mwa 2015 hivyo tunaomba mawazo yenu kwenye jina la Radio. Tumeona ni vyema tukachanganya mawazo kwenye kutafuta jina la Radio hii. Yeyote atayetoa jina ambalo litaonekana linafaa kutumiwa na kituo hiki cha radio basi ataalikwa kuhudhuria ufunguzi na pia atabaki kwenye kumbukumbu ya kituo chetu. Mawazo yenu ni muhimu sana kwa wakati huu. Karibuni

mkuu, kama kweli redio hio haina jina, na kama sio kwamba unafamya mzaha, basi napendekeza iitwe WajaLeo FM.
 
Back
Top Bottom