Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Jina langu ni Manyanza.Naming ya majina ni kutokana na lugha unayoogea. Islam ni tamaduni za kiarabu na lugha yao. Vivyo hivyo ukristu ni tamaduni za magharibi na lugha yao.
Hayo majina ya kikristo na kiarabu pia unaweza yapata kwenye lugha ya kisukuma na kihaya yakiwa na maana ile ile ila matamshi tofauti.
Tatizo mnashobokea tamaduni za watu na mnazifanya zenu, hata wao wanawashangaa mlivyo wajinga.
Anza kupenda vyenu.
Kiswahili ni Ziwa au Maziwa. Maana yake ni Ziwa na Lake Victoria kabla ya Mkoloni liliitwa Nyanza. Kwahiyo mjumuisho wa maziwa yote ukatengeneza Manyanza 😂😂😂😂