Nipe Jina (Lako), Nikupe Jina la Kiislam Lenye Maana Sawa

Jina langu ni Manyanza.
Kiswahili ni Ziwa au Maziwa. Maana yake ni Ziwa na Lake Victoria kabla ya Mkoloni liliitwa Nyanza. Kwahiyo mjumuisho wa maziwa yote ukatengeneza Manyanza 😂😂😂😂
 
Msanii
 
Jibu kwanza hapa.
Unipe jina la kiislam au kiarabu?
Kwani Islam ni lugha au dini?
 
Jibu kwanza hapa.
Unipe jina la kiislam au kiarabu?
Kwani Islam ni lugha au dini?
Yote ni sawa, waislamu wanatumia majina ambayo yana chimbuko kwny uarabu
Same hata Wakristo utakuta lipo na chimbuko kwny kilatin, waebrania, kigiriki, nk
Hivyo yote ni sawa
 
Analwisye mwakijengele.
Naomba la kiislam tafadhari
 
Ilo la Mujahid limekaa kibabe sana.
 
Tutaleta uzi pia wa Majina ya Kizungu na Kiarabu kwa tafsiri ya Kisukuma, Kihaya, Kichaga, na Kingoni
 
Mayunga
Mkude
 
Hayo majina ni yaliyotumika kwenye Empire zilizowahi kutawala maeneo makubwa kama Roman, Greek na Otoman Empire. Ndio maana yamejulikana.

Ila majina yetu mfano ya makabila ya asili ya Kiafrika yanabaki kama yalivyo na hayabadiliki kutokana na lugha flani. Ingawa yanamezwa na majina ya hizo Empire.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…