Nipe Jina (Lako), Nikupe Jina la Kiislam Lenye Maana Sawa

Tutaleta uzi pia wa Majina ya Kizungu na Kiarabu kwa tafsiri ya Kisukuma, Kihaya, Kichaga, na Kingoni
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwa mfano Frank kwa kiarabu ni Faris je kwa kisukuma au Kihaya litakuwa na maana gani ??
 
Nenda msikitini halafu useme unaitwa kristofa uende kama sheikh atakuacha salama

Itapigwa TAKBIRRRRRR!!!! ASTAGAFULLAH!! YARAAAB!! TOBAAA!!

labda ujiite Hamza kanuni!
 
InshaAllah!
 
Nenda msikitini halafu useme unaitwa kristofa uende kama sheikh atakuacha salama

Itapigwa TAKBIRRRRRR!!!! ASTAGAFULLAH!! YARAAAB!! TOBAAA!!

labda ujiite Hamza kanuni!
Mbona unaanza kuchafua uzi mkuu ?
 
HIYO NI LUGHA GANI AU KILUGHA GANI ?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Manyanza:
Majid (meaning "glorious" or "splendid")
Maziyyah (meaning "spring of water" or "source of water")
Mutasim (meaning "one who seeks protection")
 
Manyanza:
Majid (meaning "glorious" or "splendid")
Maziyyah (meaning "spring of water" or "source of water")
Mutasim (meaning "one who seeks protection")
Mkuu hili la Wenceslaus vipi?
 
Mi binafsi naona ni majina ya kizungu against kiarabu na sio kikristo against kiislam. Mfano mi naitwa Ndekidemi alafu ni Mkristo na kuna jamaa mmoja anaitwa Kisombe na myislam. Hapo naina unatupotosha. Tittle ingesema, majina ya kuzungu vs kiarabu kwani pia sio wazungu wote ni wakristo na sio waarabu wote waislam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…