Nimeanza kufuatilia international futbol miaka 16 iliyopita! Na hiki ndio kikosi bora zaidi kwa upande wangu! 1.Gigi buffon 2. Cafu 3. Paulo maldini 4. Frank de boer 5. Nesta 6. Deschamps 7. Messi 8. Edgar davids 9. Ronaldo de lima 10. Zidane 11. Ronaldinho natamani kuwaweka c.ronaldo,thiery henry,giggs,bergkamp,cannavaro,xavi......but hawana nafasi!! Wewe chako ni kipi?
1.Peter SchmichelNaombeni mtaje tisa, halafu wawili ni Zidane na Ronaldinho, yaani kila kikosi kitachotajwa wasikosekane hao wawili.
1 Peter SchmichelNaombeni mtaje tisa, halafu wawili ni Zidane na Ronaldinho, yaani kila kikosi kitachotajwa wasikosekane hao wawili.
Wewe unatoka barabara ya12? Wapi Victor Mkanwa?Mimi niko proud na local soccer banaaaaa!
Mwameja
Kolongo
Mwaliza
Napili
Kasa Musa
Ali Maumba
Ngulungu
Mwakuluzo
Mchunga
Razak Careca
Mgunda
Hapo ilikuwa hakuna cha Simba, Yanga, Pamba wala Majix2
1. Gianluca Buffon
2. Fernando Hierro
3. Paulo Maldini
4. Vieira
5. Didier Deschamps
6. Xavi Hernandes
7. Luis figo
8. Edgar Davids / JJ-Okocha
9. Ronaldo de lima/G.Weah
10. Zidane
11. Denilson
Tumezingatia miaka 16 iliyopita, Milan kweli ilikuwa juu, nakumbuka kuna mechi ilikwisha sikujua hata jezi ya kipa ilikuwa na rangi gani, timu pinzani ilikuwa shida kuvuka mstari wa kati!teh teh asilimia kubwa ya waliotaja vikosi naona wamewataja wachezaji wa AC Milan.
Hii ina maana kuwa Milan ndio mafanikio ya soka au?
Tumezingatia miaka 16 iliyopita, Milan kweli ilikuwa juu, nakumbuka kuna mechi ilikwisha sikujua hata jezi ya kipa ilikuwa na rangi gani, timu pinzani ilikuwa shida kuvuka mstari wa kati!