Nipe kikosi chako bora kwa miaka 16 iliyopita

1. Oliver Khan
2. Maicon/Dan Alves
3. Paolo Maldini
4, Nemanja Vidic
5. Pique
6. Steven Gerald
7. Cristiano Ronaldo
8. Zinedine Zidane
9. Roberto Bagio
10. Ronaldo de Lima
11. Diego Forlan

Pique huyuhuyu au wa miaka iliyopita
 
Ni dhambi sana kumuacha Xavi Hernandez Creus kiungo anaesifika kwa pasi za uhakika na sio mcheza rafu kumuweka Edgar Davids ambae akicheza vs Barca kadi aidha njano au nyekundu inatoka kwake,Josep Guardiola Sala alisema Xavi ndie mrithi wake,Xavi akasema Andres Iniesta Lujan ndie mrithi wa wote wawili Xavi na Guardiola,viungo kama Gilberto Silva,Sergio Busquets Burgos na Andres Pirlo ni viungo wazuri wanaokaba kiakili wasio na rafu ni nadra kukuta wamepewa hata kadi ya njano
 
Dah sheikh hiyo ni Mnyama Mkubwa Abuja Abajalo Ngilimaa...
1. Matokeo
2. Sagga
3. Modest
4. George Ngasongwa
5. Baba Dimu...

Huo ulikuwa ukuta nguli wa Abajalo.
Abeche pia beki,walikuwa na nyimbo yao moja,hapa Tz kuna timu 3,ya kwanza simba na yanga,ya pili abajalo.
 
japo sijafikisha miaka16 toka nianze kucheki soka.ila full kikosi bola nihiki,1 pt shmichael 2 cuf 3 v lizalazu 4 branc 5 stam 6 makelele 7c ronaldo 8 xavi 9 r de Rima 10 mess 11 overmass.dah yan hpo nisingefungika.
 
japo sijafikisha miaka16 toka nianze kucheki soka.ila full kikosi bola nihiki,1 pt shmichael 2 cuf 3 v lizalazu 4 branc 5 stam 6 makelele 7c ronaldo 8 xavi 9 r de Rima 10 mess 11 overmass.dah yan hpo nisingefungika.
Du! Kwa hao wachezaji uliowataja ni vema ungetuambia na fomesheni itakayofanya hiyo timu iwe ngumu kufungika.
 
Kikosi changu hiki hapa.

1.Van De Sar, 2 Cafu, 3 R. Carlos, 4 Vidic, 5 C Puyol, 6 C Seedolf, 7C. Ronaldo, 8 Zidane, 9 De Lima, 10 Rooney, 11 Messy.

Subs: Oliver Khan, Paul Maldin, Cannavaro, Ronaldinho, Xavi, T Henry, Drogba, Giggsy
 
Nani anaikumbuka hii list?

1) Elias
2) Kilambo
3) Boy Wickens
4) Hassan Gobbos
5) Kapera
6) Gilbert Mahinya
7) Awadh Gessan
8) Abdulrahaman Juma
9) Kitwana Manara (Popat)
10) Abbas Dilunga
11) Juma Bomba

Coach: Victor Stanculescue

Young Africans 1971/2/3/4 ?
 
1. Edwin Van De Sir
2. Dani Alves
3. Paulo Maldini
4. Nemanja Vidic
5. Fabio Canavaro
6. Xavi Hernandez
7. Cristiano Ronaldo
8. Zinedine Zidane
9. Ronaldo de Lima
10. Lionel Messi
11. Ronaldinho Gaucho
 
1. Edwin Van De Sir2. Dani Alves3. Paulo Maldini4. Nemanja Vidic5. Fabio Canavaro6. Xavi Hernandez7. Cristiano Ronaldo8. Zinedine Zidane9. Ronaldo de Lima10. Lionel Messi11. Mtakatifu Ronaldinho Gaucho
yaani asilimia 95 ya vikosi vilivyotajwa basi vina nyota wa AC Milan.duh kweli Milan sumu
 
1 van der Sar
2 nsajigwa/maicon
3 evra/marcelo
4 vidic
5 canavaro
6 ferdinand
7 c. Ronaldo/quaresma/roben
8 zidane/ xavi
9 de lima/rivaldo
10 rooney
11 messi/robinho
 
Mkuu wewe ni mchambuzi mzuri wa soka na umenikosha asilani.Tatizo moja ulilolionyesha ni kuwa katika miaka yote hujawahi kuona hata mchezaji mmoja wa kiafrika ambaye alikukosha,kweli?

Fikiria watu kama akina George Weah,Nwanko Kanu,Austin "J.J" Okocha,Celestine Babayaro,Lacas Radebe,Mustapha Hadji,Samuel Eto'o Fils,Mark Fish na wengine wengi wa kiafrika ambao nimewasahau hapa.Kizazi cha akina Roger Milla na akina Kalusha Bwalya sijawaandika hapa coz mtoa mada amesema tuanzie miaka 16 iliyopita tu!
 
luigi buffon................... nyanda
gianluca zambrotta......shavu la kulia
paolo maldini................full back right
canavaro na nesta.......central defenders
amdy faye...................defending midfielder kazi ya kuharibu dimba la chini ndo lake
juan roman riquelme.........................winga ya kulia
alvaro recoba...................winga ya kushoto
pavel nedved...................kiungo mshambuliaji
gabriel batistuta batigol na george weah........strikers



zizzou na gaucho wanapasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…