Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Ukweli ni kwamba waomba ajira ndo wengi juu,
Kuliko wanaopambana ili wajiajiri tu!
Unaweza miliki pesa ukakosa uhuru juu,
tambua huru ndo UTAJIRI pekee huku juu.
Mtu akishapata nafasi uku juu,
ujikuta anajipa ukuu,
atambui atabaki mmoja tu,
Na ndo mwenye hukumu na uwezo wa hali ya juu.
Mungu ni mungu tu .
Allhamudulilah..nimebarikiwa kipaji tu ^
kitu cha kucheka nachekaga tu .
ila sehemu ya kuhuzunik na huzunika tu!
Maana kuna leo na kesho huwezi jua tu,
unayemcheka leo kesho akakubembeleza kwenye huzuni wako tu.
Mweheshimu kila mtu tu ,
acha dharau na kujikweza hapa juu.
je ungebashiriwa pepo si uongetuondoa mapema huku juu.
Sema asante mungu bado tunaishi tu.
❣❣❣❣🙏🌹
Kuliko wanaopambana ili wajiajiri tu!
Unaweza miliki pesa ukakosa uhuru juu,
tambua huru ndo UTAJIRI pekee huku juu.
Mtu akishapata nafasi uku juu,
ujikuta anajipa ukuu,
atambui atabaki mmoja tu,
Na ndo mwenye hukumu na uwezo wa hali ya juu.
Mungu ni mungu tu .
Allhamudulilah..nimebarikiwa kipaji tu ^
kitu cha kucheka nachekaga tu .
ila sehemu ya kuhuzunik na huzunika tu!
Maana kuna leo na kesho huwezi jua tu,
unayemcheka leo kesho akakubembeleza kwenye huzuni wako tu.
Mweheshimu kila mtu tu ,
acha dharau na kujikweza hapa juu.
je ungebashiriwa pepo si uongetuondoa mapema huku juu.
Sema asante mungu bado tunaishi tu.
❣❣❣❣🙏🌹