Hiyo avatar yako unainajisi piga goti mwanadamu hapo hana mamlaka mizigo yote wasilisha kwa Mungu.Tuko chuo na wote ni mwaka wa kwanza.ukwel nampenda sana.ila yuko serious muda wote.nilimwomba namba kanipa ila kuna limjamaa lina msomesha tena pemben yang tu .nipen mbinu naoa nikipata huyu mwanamke .
Kwa nini atakuwa WA duce au muce mkuu ?aki we mpee shopping kali kila ukipata boom uyo manzi utampata joh,, bila kukosea we utakua wack wa DUcE au Muce
Hiv tunasomaga tuu bila refreshments? Lazima nipate mtu wa kumfanyia reference... Yan nikifel naona aibu coz demu yupo.[emoji1] [emoji1]Khaaa[emoji23][emoji23][emoji23] kweli mwanafunzi ni mwanafunzi hata akiwa university!!
unaacha kusoma ili uepukane na Sup,Upate GPA za maana zikupeleke mbele zaidi!!
unawaza mzigo usiokuhusu!!
come on Nigga, Grow Up!!!!!!!!!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] et kwa udomo zege...asante kwa ushauriDogo zingatia kilichokupeleka huko.., Maana kwa Udomo zege wako huo hutakawia kunywa Sumu endapo hilo Jamaa litakuzidi kete!!!
Kumbe hujanielewa Mkuu.sijasema Niko kimboka nanunua Malaya..kumpenda mtu sio dhambi kwa yeyote yule.jiuleze kwenye biblia kuna sehemu imeandikwa wap utampata Mke mwema?Hiyo avatar yako unainajisi piga goti mwanadamu hapo hana mamlaka mizigo yote wasilisha kwa Mungu.
My Friend you need Jesus ASAPHiv tunasomaga tuu bila refreshments? Lazima nipate mtu wa kumfanyia reference... Yan nikifel naona aibu coz demu yupo.[emoji1] [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]My Friend you need Jesus ASAP