Nipe mbinu nimpate huyu manzi

Nipe mbinu nimpate huyu manzi

Tuko chuo na wote ni mwaka wa kwanza.ukwel nampenda sana.ila yuko serious muda wote.nilimwomba namba kanipa ila kuna limjamaa lina msomesha tena pemben yang tu .nipen mbinu naoa nikipata huyu mwanamke .
Hiyo avatar yako unainajisi piga goti mwanadamu hapo hana mamlaka mizigo yote wasilisha kwa Mungu.
 
Mambo muhimu matatu ya kumfanya mwanamke akupende kwa "Dhati
(1)MPE hela.
(2)We MPE hela tu!
(3)Nakwambia MPE hela.
Kama huamini jaribu uone matokeo yake.
 
Khaaa[emoji23][emoji23][emoji23] kweli mwanafunzi ni mwanafunzi hata akiwa university!!
unaacha kusoma ili uepukane na Sup,Upate GPA za maana zikupeleke mbele zaidi!!

unawaza mzigo usiokuhusu!!
come on Nigga, Grow Up!!!!!!!!!!
Hiv tunasomaga tuu bila refreshments? Lazima nipate mtu wa kumfanyia reference... Yan nikifel naona aibu coz demu yupo.[emoji1] [emoji1]
 
Dogo zingatia kilichokupeleka huko.., Maana kwa Udomo zege wako huo hutakawia kunywa Sumu endapo hilo Jamaa litakuzidi kete!!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] et kwa udomo zege...asante kwa ushauri
 
Hiyo avatar yako unainajisi piga goti mwanadamu hapo hana mamlaka mizigo yote wasilisha kwa Mungu.
Kumbe hujanielewa Mkuu.sijasema Niko kimboka nanunua Malaya..kumpenda mtu sio dhambi kwa yeyote yule.jiuleze kwenye biblia kuna sehemu imeandikwa wap utampata Mke mwema?
 
Soma kwa bidii ili ufaulu vizuri then ujiajili/uajiliwe upate pesa za kutosha, watajileta wenye sura na mibinuko ya kila aina
 
Huko chuoni umeenda kutafuta wachumba?? Au wenzetu huko namba hamzisomi?? Ngoja nimshtue Ndalichako
 
DOGO, MAISHA YA CHUO SYO YA KUPAPATIKIA, YATAKUSHNDA, UTADISCO AU KUISH MAISHA MAGUMU. PIGA KITABU, MADEMU WAPO TU.
 
Ndo kwanza semester ya kwanza ushaanza hayo?
 
Back
Top Bottom