Nipe njia ya kuliepuka tatizo na sio kulitibu pekee

Nipe njia ya kuliepuka tatizo na sio kulitibu pekee

BATTO

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
282
Reaction score
207
Imekuwa ni kawaida kwa madaktari wetu kukupa tiba na njia mbalimbali za kukuwezesha kupona ugonjwa

unaokusumbua..Kwa kweli tunawashukuru kwa hilo....Swali langu ni je...! tatizo lipo wapi kwa madaktari wengi wao

kushindwa kumpa mgonjwa njia za

kukabiliana na tatizo husika ili kuavoid watu kupishana mala kwa mala mahospitalini na matatizo yale yale yaliyo wapeleka

mwanzo kujirudia...,!?.,
 
Back
Top Bottom