Mwe!Kobe hana mazoezi yoyote anaishi miaka 150, Simba na mapaka wenzake wanakimbia kimbia kipuuzi huko nyikani miaka 20 hawatoboi
Maisha anatoa Mungu, ukilijua hili utaishi kwa amani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwe!Kobe hana mazoezi yoyote anaishi miaka 150, Simba na mapaka wenzake wanakimbia kimbia kipuuzi huko nyikani miaka 20 hawatoboi
Maisha anatoa Mungu, ukilijua hili utaishi kwa amani
Sasa si ndo hayo hayo? Unataka uanze gym unakumbuka unadaiwa kikoba unaenda kusaka fwedhwa... 🤣 🤣Sasa nyie wanawake mnamipango gani zaidi ya vicoba na kushangilia simba 🤣🤣🤣🤣
Kupiga jembe,au fundi maiko!Nature of my job ni mazoezi tosha mazeee
Endelea na mazoezi wewe,ulizidisha dozi!Kuna siku 2021 nilikimbia kutoka Pale Kimara suka ile kufika maeneo ya Msuguli moyo ukaanza kwenda mbio ikabidi nilale pemben barabaran...Sina simu wala nn wasamaria wema wakanipeleka Bochi hospital ndio Wife akaja ila nikaonekana sina shida...ndio ukawa mwisho wa kukimbia Asubuhi