Nipe sababu kwanini hufanyi mazoezi

SAbabu kubwa ni uvivu, labda na kwa mbali kukosa wito wa mazoezi. Ivo yani
 
Kuna siku 2021 nilikimbia kutoka Pale Kimara suka ile kufika maeneo ya Msuguli moyo ukaanza kwenda mbio ikabidi nilale pemben barabaran...Sina simu wala nn wasamaria wema wakanipeleka Bochi hospital ndio Wife akaja ila nikaonekana sina shida...ndio ukawa mwisho wa kukimbia Asubuhi
 
Sasa nyie wanawake mnamipango gani zaidi ya vicoba na kushangilia simba 🤣🤣🤣🤣
Sasa si ndo hayo hayo? Unataka uanze gym unakumbuka unadaiwa kikoba unaenda kusaka fwedhwa... 🤣 🤣
 
Endelea na mazoezi wewe,ulizidisha dozi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…