Nipe sifa ya jamii hii ya mbwa

Hii ni aina ya mbwa jamii ya Tanzanian Shepherd. Ni mbwa vilaza sana compared na breed nyingine za mbwa. Sifa yao kubwa ni kuwa na hofu na woga uliopitiliza. Ni wazuri kuwafuga kwa lengo la kula makombo ya chakula, huwa wako vizuri sana sehemu hiyo na wanapenda sana kutembelea majalalani.
 
Tuliwatumia enzi zetu kwenda kuwinda nao Sungura akiumia ana deka anataka mumbebe,na anajilegeza kweli mkimkazia mkaondoka anainuka anawafata akichechemea uksmama akikufkia analala chini umbebe. Hawa ni vi last born breed.
 
Mamaeeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
nimechekaaaa🤣🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…