I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂 Kwamba waogaHao ukikohoa wanaingiza mkia chini ya miguu ya nyuma mkia unakuja hadi chini ya shingo huku wanalia kama umampiga na kitu kizito kichwani
Hii ni aina ya mbwa jamii ya Tanzanian Shepherd. Ni mbwa vilaza sana compared na breed nyingine za mbwa. Sifa yao kubwa ni kuwa na hofu na woga uliopitiliza. Ni wazuri kuwafuga kwa lengo la kula makombo ya chakula, huwa wako vizuri sana sehemu hiyo na wanapenda sana kutembelea majalalani.
Mamaeeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ni aina ya mbwa jamii ya Tanzanian Shepherd. Ni mbwa vilaza sana compared na breed nyingine za mbwa. Sifa yao kubwa ni kuwa na hofu na woga uliopitiliza. Ni wazuri kuwafuga kwa lengo la kula makombo ya chakula, huwa wako vizuri sana sehemu hiyo na wanapenda sana kutembelea majalalani.
Yaani ndugu mwandishi hata ukiinama tuu kama unatafuta jiwe yeye analia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwamba waoga
Haka kakorofi ni kakali..
nimechekaaaa🤣🙌Hii ni aina ya mbwa jamii ya Tanzanian Shepherd. Ni mbwa vilaza sana compared na breed nyingine za mbwa. Sifa yao kubwa ni kuwa na hofu na woga uliopitiliza. Ni wazuri kuwafuga kwa lengo la kula makombo ya chakula, huwa wako vizuri sana sehemu hiyo na wanapenda sana kutembelea majalalani.
Na kuzoea hata mtu asiemjua kwa mfano akipiylta njia ukamwita ukamnyooshea mkono yeye anatikisa mkia kabisa kama anakujua sana yaniHawa wana tabia ya kusahau nyumbani kwao
🤣🤣Hao ndo wale wanakula chochote hata ubuyu wanakula na wanatema mbegu!