Nipe sifa ya jamii hii ya mbwa

Huyo mbwa mwisho wa dunia bado atakuwepo... Huyo anapatikana africa tuu[emoji23][emoji23]
 
🀣🀣
 
Hao ni African basenji ni kati ya Mbwa wazuri sana kwa uvumilivu wa magonjwa na niwazuri sana kwa uwindaji na usikivu wa hali ya juu, wana fundishika vyema kwakweli. Mbwa kula kila kitu ni maamuzi ya mtunzaji hata hawa wakizungu wanakula kila kitu inategemeana na wewe unataka kumwekaje ktk ufugaji wake.
 
tiger...simba..papiii πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Hawa mbwa ni utunzaji tu Sasa wewe unawalisha ugali na kabichi hauwapi dawa atakuwa kituko tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…