Nipe sifa za wanaume wa Dar

Nipe sifa za wanaume wa Dar

Wanapenda kupiga picha na mabintu kuliko kazi
f04320dab33064986c977c23e8d11a34.jpg
 
Wanaume wa Dar wanatofautiana sana na walugaluga kwa sababu technology ikitoka ulaya lazima ianzie Dar then iwafukie wachimba chumvi so wao wanajiona wajanja kwa kunuka vikwapa eti hawatumii perfume . Dah ingekuwa uchafu ndio kujisifu ukamilifu nadhani magonjwa ya mlipuko yasingeisha ila huko mikoani hayo magonjwa ya uchafu yenyewe huwa hayaishi na wengine mpaka wanapelekewa operation maalumu kwa ajili ya kuondoa mikono ya sweta (GOVI). Wote tunatokea mikoani Dar tumekuja kutafuta tu so naamini hata wewe mtoa post ukipangiwa kuja Dar kikazi siku hiyo utafurahia sana na utaacha hizo nguo zako za kwasakwasa ili uje kuendana na maisha ya kisasa huku mjini.
 
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu,hebu sema sasa ukweli kwa mara ya mwisho kabla sijatoa makavu yanayouma.
Acha kumpaka msela mafuta kwa mgongo wa chupa..ili kumsaidia na kuwasaidia machalii wa vilaini wanawake wa Dsm mnapaswa kufunguka maana muda si mrefu mtaja umbuka mchanaa...nadha mnajua...haya chapchap sema yote...

Chapchap?????!!!!!! Sijakuelewa wataka nikuambie nini cha zaidi sababu mie nilimaliza kugusia matamu niliyojisikia kuandika
 
maharage yanawekwa sukari wanalia maandazi au chapati



Hii kitu huwa nawashangaa sana wanaume wanaofanya hivi kwakweli eti jitu zima linaweka sukari kwenye maharage, kwenye mtindi na kwenye kande!!!
 
Wanapendwa na wanawake wa Mikoani
usijidanganye,,,,, mwanaume akijipodoa, anashindia matunda earphon kutwa maskion, anakod gar ataliendesh mpaKA lifanane nae hao huwaga mashoga,,,,. hata mwanamke wa mkoa akitokea haamasiki kivilee maana anaona umeiba vipodoz vya MKEO tOfaut na yule anaenuka jasho la kazi huwaga raha sana nikiwaOnaga wanaonuka jasho la kazi NAWAKubali haswaaa!
 
sio wote,,, ila ukiitwa mwanaume wa DAR ujue wanapenda maisha ya tamthilia, wanajpodOa hata BAG wanazobeba zina vipodoz ndani yake,,,, WAMEOA ila hujitangaz wapo singo, MASHOGA, wanapenda mteremko, same guyz wanalelewa na majimama, waigizaji / waongo wakubwa,,,.
 
Kama wapo wafanyao hivyo, ubaya upo wapi kwani wanawaomba msaada kulembwa nanyi...!!!!!
Hivi zile chips yai rojorojo wanazokulaga huwa wanapata nguvu za kuwapanda kweli?au ndo kabao kamoja kushne!!
 
Back
Top Bottom