rastafari tz
Member
- Jul 1, 2016
- 46
- 48
so unaweza kuwapa mkeo ujaribu au? Mana vitu vingine havipimwi kwa maoni ya watuNi nyuki wamashinen hawan'gatii
so unaweza kuwapa mkeo ujaribu au? Mana vitu vingine havipimwi kwa maoni ya watu
Kaoge c wa bukoba MPE MpokiNi jaribu kuwapa kina kaoge au
Wanaume wa Dar wanajipodoa kama wanawake!
Aisee uje Nikununulie Samaki wa Kuchoma pale kwa Resty Barberque
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu,hebu sema sasa ukweli kwa mara ya mwisho kabla sijatoa makavu yanayouma.
Acha kumpaka msela mafuta kwa mgongo wa chupa..ili kumsaidia na kuwasaidia machalii wa vilaini wanawake wa Dsm mnapaswa kufunguka maana muda si mrefu mtaja umbuka mchanaa...nadha mnajua...haya chapchap sema yote...
maharage yanawekwa sukari wanalia maandazi au chapati
hahahah kaMa unatoka MKOA ukifka dar unahis wanaeNda tutions mda woteKubeba BAG Kutwa Mzima.
usijidanganye,,,,, mwanaume akijipodoa, anashindia matunda earphon kutwa maskion, anakod gar ataliendesh mpaKA lifanane nae hao huwaga mashoga,,,,. hata mwanamke wa mkoa akitokea haamasiki kivilee maana anaona umeiba vipodoz vya MKEO tOfaut na yule anaenuka jasho la kazi huwaga raha sana nikiwaOnaga wanaonuka jasho la kazi NAWAKubali haswaaa!Wanapendwa na wanawake wa Mikoani
Hivi zile chips yai rojorojo wanazokulaga huwa wanapata nguvu za kuwapanda kweli?au ndo kabao kamoja kushne!!Kama wapo wafanyao hivyo, ubaya upo wapi kwani wanawaomba msaada kulembwa nanyi...!!!!!
Sio matamasha tu!.Ndo chakula chao kikuu!.πππππ!Wanaanda tamasha la kula chips mayai.
Hivi zile chips yai rojorojo wanazokulaga huwa wanaweza kuwapanda kweli?