Nipe tenda nikuuzie kuku wa kienyeji kwa wale wa Mwanza tu.

Nipe tenda nikuuzie kuku wa kienyeji kwa wale wa Mwanza tu.

Galadudu

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
2,304
Reaction score
780
Nilishindwa kuanza kuhangaika kuanza kutafuta kazi kwa maana ajira za kibongo bana ni za "mtoto wa shangazi na wa mjomba".......

Nikaamua nianze ufugaji wa kuku wa kienyeji tangu mwezi wa kumi mwaka jana na hadi sasa ninao kuku wa kienyeji wa kutosha....

Karibuni sana kwa maongezi.
 
Ungekua DSM tungefanya biashara naitaji kuku

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom