Bwana Bongo
Senior Member
- Dec 12, 2021
- 146
- 212
Afadhali hawa Tigo wamebadilisha hili lililokuwa lisha kuwa na maana ya kishenzi
Sema yaaaas
Maana sisi mwenye mishe zetu ilikuwa inatukata kweli
"Naomba Tigo?
"unatigoo hapo?
"Tigo unatoa?
Shwainiiiiš
na kuwakomoa tunasema Mixx by yas ipoo swafiii kabisaaš
Sema yaaaas
Maana sisi mwenye mishe zetu ilikuwa inatukata kweli
"Naomba Tigo?
"unatigoo hapo?
"Tigo unatoa?
Shwainiiiiš
na kuwakomoa tunasema Mixx by yas ipoo swafiii kabisaaš