mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Nataka kuanzisha duka la spear za pikipiki,Bajaj hapa jombe na mbeya . Ila sina muda wa kusafiri kwenda china so nataka niwe naagiza spear hapa hapa Tanzania , wapi napata chimbo la spea kwa Bei kitonga , mikoa ya huku nimestudy mbeya na jombe, iringa wote wanagiza spear dar ila wanafanya Siri. Je mawakala wa pikipiki wanauza na spear ?