mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Spear utazipata kwa jamaa anaitwa sanga store. Mtafte raa raa ree ree akusaidieNataka kuanzisha duka la spear za pikipiki,Bajaj hapa jombe na mbeya . Ila sina muda wa kusafiri kwenda china so nataka niwe naagiza spear hapa hapa Tanzania , wapi napata chimbo la spea kwa Bei kitonga , mikoa ya huku nimestudy mbeya na jombe, iringa wote wanagiza spear dar ila wanafanya Siri. Je mawakala wa pikipiki wanauza na spear ?
Njoo dm mkuu,tuyajenge nitakuwa agiza chochote kile na tutakutumia pia hadi huko.Spear utazipata kwa jamaa anaitwa sanga store. Mtafte raa raa ree ree akusaidie
Mimi ni muuzaji wa hizo spare parts kasoro sideal na za bajaj ila wadau nipo nao karibu. office ipo Kariakoo. Kama upo serious kweli ni dm list ya vitu unavyohitaji na aina ya pikipiki mfano kama ni za boxer 125 au boxer 150, Gn 125, GN 150, etc nitakuandalia bei za jumla ambazo tunawapa watu wa mikoani.Nataka kuanzisha duka la spear za pikipiki,Bajaj hapa jombe na mbeya . Ila sina muda wa kusafiri kwenda china so nataka niwe naagiza spear hapa hapa Tanzania , wapi napata chimbo la spea kwa Bei kitonga , mikoa ya huku nimestudy mbeya na jombe, iringa wote wanagiza spear dar ila wanafanya Siri. Je mawakala wa pikipiki wanauza na spear ?
Nataka kuanzisha duka la spear za pikipiki,Bajaj hapa jombe na mbeya . Ila sina muda wa kusafiri kwenda china so nataka niwe naagiza spear hapa hapa Tanzania , wapi napata chimbo la spea kwa Bei kitonga , mikoa ya huku nimestudy mbeya na jombe, iringa wote wanagiza spear dar ila wanafanya Siri. Je mawakala wa pikipiki wanauza na spear ?
Nje ya mada mkuu, natafuta carburetor ya yamaha t90t (4gl) niandae bei ganiMimi ni muuzaji wa hizo spare parts kasoro sideal na za bajaj ila wadau nipo nao karibu. office ipo Kariakoo. Kama upo serious kweli ni dm list ya vitu unavyohitaji na aina ya pikipiki mfano kama ni za boxer 125 au boxer 150, Gn 125, GN 150, etc nitakuandalia bei za jumla ambazo tunawapa watu wa mikoani.
Mjapan huyu wa kushusha gear chini au nimekosea? mimi nadeal na mchina tu kaka. subiri jirani yangu akifungua nitakupa bei yeye ndo anadeal nazoNje ya mada mkuu, natafuta carburetor ya yamaha t90t (4gl) niandae bei gani
Naam mjapan gear kama boxer tuMjapan huyu wa kushusha gear chini au nimekosea? mimi nadeal na mchina tu kaka. subiri jirani yangu akifungua nitakupa bei yeye ndo anadeal nazo
Sawa baada ya kama nusu saa hivi watafungua.Naam mjapan gear kama boxer tu
Pande gani nipitie nipo karume hapaSawa baada ya kama nusu saa hivi watafungua.
Mtaa wa swahili na mafia bossPande gani nipitie nipo karume hapa
Nakubali kakaMtaa wa swahili na mafia boss