nipeni elimu ndugu zangu

Kalunguine

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2010
Posts
2,543
Reaction score
134
mimi nataka kubadili jina langu na nataka nitumie jina langu la ukweli na picha yangu mardadi kama mtoto wa kike hapa JF make pia nataka kupata mume,hivyo basi nielekezeni namna ya kubadili hili jina bandia na namna nitakavoeka jina halisi
 
kwa hiyo! ina maana humu JF hili tatizo haliwezi kupata ufumbuzi?? niambien basi namna ya kuwa PM wahusika labda watansaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…