Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
mimi nataka kubadili jina langu na nataka nitumie jina langu la ukweli na picha yangu mardadi kama mtoto wa kike hapa JF make pia nataka kupata mume,hivyo basi nielekezeni namna ya kubadili hili jina bandia na namna nitakavoeka jina halisi