KennedyMmari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 979
- 187
Tangu kina Uhuru,Rutto na wenzao waliposhtakiwa huko The Hague nilishangaa sana...:Kwanza,kwanini hakukamatwa Mwai Kibaki ambaye ni sawa na Laurent Gbabo wa IvoryCoast aliyeiba kura waziwazi na kusababisha vurugu hizo?Kwanini hakushtakiwa Kibaki ambaye alikuwa muhusika mkuu katika vurugu hizo??
Pili,kwanini hakushtakiwa Raila Odinga ambaye alikataa matokeo na kuwaambia wafuasi wake waanze maandamano yaliyochangia vurugu hizo??Mbona baada ya "kuhongwa" na kukubali uwaziri mkuu fujo ziliisha??hili halithibitishi uhusika wake??
Kesi hii naifananisha na kesi za kifisadi huku Tanzania zinazowakumba dagaa na kuwaacha papa wakiendelea kupeta