Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suala hapa ni nani mwenye mamlaka ya kutoa mamlaka ya maandamano ya kisheria?huwezi kutegemea serikali inayolalamikiwa na maandamano hayo ikubali kuyabariki kufanyika..je ikiwa serikali imepiga marufuku, basi kuandamana kutakuwa kosa?..ikiwa serikali haina uwezo wa kuthibitisha hatari itokanayo na kufanyika kwa maandamano, basi ni dhahiri kuwa inakiuka haki ya watu kuelezea malalamiko yao kwa njia ya maandamano..
Swala la kujiuliza ni je, mwanzo wakati wafuasi wa ODM wakiandamana, walikuwa wameagizwa wabebe mapanga na marungu kwa ajili ya mapambano?...sababu hayo ndiyo walioamuru baadhi ya viongozi walioitwa na ICC
Nenda nchi yoyote ukaandamane bila kibali uone kitachokupata. Ndo maana kunakitu kinaitwa rule of law. Maandamano yale ndo yalichochea fujo zote yani watu walipata mahala ama pretext ya kuanzisha fujo kwa fenomenani ya mob saikoloji. Ukiwakusanya watu wengi wenye hasira chansi ya kufanyika fujo ni kubwa kuliko ukiwatenga. Sana sana atapiga ngumi moja kwa ukuta anaenda kusinzia.