KennedyMmari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 979
- 187
Tangu kina Uhuru,Rutto na wenzao waliposhtakiwa huko The Hague nilishangaa sana...:Kwanza,kwanini hakukamatwa Mwai Kibaki ambaye ni sawa na Laurent Gbabo wa IvoryCoast aliyeiba kura waziwazi na kusababisha vurugu hizo?Kwanini hakushtakiwa Kibaki ambaye alikuwa muhusika mkuu katika vurugu hizo??
Pili,kwanini hakushtakiwa Raila Odinga ambaye alikataa matokeo na kuwaambia wafuasi wake waanze maandamano yaliyochangia vurugu hizo??Mbona baada ya "kuhongwa" na kukubali uwaziri mkuu fujo ziliisha??hili halithibitishi uhusika wake??
Kesi hii naifananisha na kesi za kifisadi huku Tanzania zinazowakumba dagaa na kuwaacha papa wakiendelea kupeta

Pole...Tatizo lako ni kudhani kuwa uko informed kuliko watu wengine ambao hawaoni hayo unayosema!
ICC hawapelekwi Vibaraka ni mahakama ya kuwatisha wazalendo na wapigania haki za Raia wao! Hata Uhuru na Ruto wakikubali kuporwa Mali za wakenya Mahakama ita Prove beyond reasonable dout kuwa They are not Guilt!
Just wait and you will see within the next 12 month. RO knows that he will be next to the ICC
Good question, ask Omar Hassan the new Mombasa county governor elect.
Tangu kina Uhuru,Rutto na wenzao waliposhtakiwa huko The Hague nilishangaa sana...:Kwanza,kwanini hakukamatwa Mwai Kibaki ambaye ni sawa na Laurent Gbabo wa IvoryCoast aliyeiba kura waziwazi na kusababisha vurugu hizo?Kwanini hakushtakiwa Kibaki ambaye alikuwa muhusika mkuu katika vurugu hizo??
Pili,kwanini hakushtakiwa Raila Odinga ambaye alikataa matokeo na kuwaambia wafuasi wake waanze maandamano yaliyochangia vurugu hizo??Mbona baada ya "kuhongwa" na kukubali uwaziri mkuu fujo ziliisha??hili halithibitishi uhusika wake??
Kesi hii naifananisha na kesi za kifisadi huku Tanzania zinazowakumba dagaa na kuwaacha papa wakiendelea kupeta
Sio kosa kisheria kuagiza wananchi waandamane..kwa hivyo Odinga hakuwa na kosa lolote
sio maandamano yaliyoaccelerate social n political unrest in kenya?
Tangu kina Uhuru,Rutto na wenzao waliposhtakiwa huko The Hague nilishangaa sana...:Kwanza,kwanini hakukamatwa Mwai Kibaki ambaye ni sawa na Laurent Gbabo wa IvoryCoast aliyeiba kura waziwazi na kusababisha vurugu hizo?Kwanini hakushtakiwa Kibaki ambaye alikuwa muhusika mkuu katika vurugu hizo??
Pili,kwanini hakushtakiwa Raila Odinga ambaye alikataa matokeo na kuwaambia wafuasi wake waanze maandamano yaliyochangia vurugu hizo??Mbona baada ya "kuhongwa" na kukubali uwaziri mkuu fujo ziliisha??hili halithibitishi uhusika wake??
Kesi hii naifananisha na kesi za kifisadi huku Tanzania zinazowakumba dagaa na kuwaacha papa wakiendelea kupeta
sio maandamano yaliyoaccelerate social n political unrest in kenya?
Maandamano ni haki ya msingi ya katiba ya taifa lenye utii wa sheria..
Kosa ni kuambia wananchi wa kabila lako waandae machette wakachinje wa kabila lingine..au kuwambia wakachome wa kabila jingine waliojificha kanisani kukimbia vurugu..ama kuwabomolea nyumba zao
Kama ni hivi basi viongozi wa CHADEMA wajiandae kwenda The Hague
baseless argument...kwanino raila alipochaguliwa kuwa premier fujo ziliisha?
Hujui hata demokrasia ni nini? Poor me!
Nafikiri si kweli, maandamano halali na yaliyo na haki kikatiba ni yale yaliyofuata taratibu za kisheria na kuruhusiwa kwa taratibu za sheria. Leo hii upo US ama UK itisha maandamano yako bila kufuata sheria uone kitakachokutokea.