Suala hapa ni nani mwenye mamlaka ya kutoa mamlaka ya maandamano ya kisheria?huwezi kutegemea serikali inayolalamikiwa na maandamano hayo ikubali kuyabariki kufanyika..je ikiwa serikali imepiga marufuku, basi kuandamana kutakuwa kosa?..ikiwa serikali haina uwezo wa kuthibitisha hatari itokanayo na kufanyika kwa maandamano, basi ni dhahiri kuwa inakiuka haki ya watu kuelezea malalamiko yao kwa njia ya maandamano..
Swala la kujiuliza ni je, mwanzo wakati wafuasi wa ODM wakiandamana, walikuwa wameagizwa wabebe mapanga na marungu kwa ajili ya mapambano?...sababu hayo ndiyo walioamuru baadhi ya viongozi walioitwa na ICC