Nipeni kazi ya kunikeep bizy

Nipeni kazi ya kunikeep bizy

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Juzi nimekuja na bandiko hapa la kuomba kupewa ushauri jinsi ya kuacha kuwagegeda mademu tofauti tofauti,

Kutokana na Nature ya kazi yangu kuuza kiepe inanifanya nikutane na hawa viumbe kila mara hivyo kuzidisha kuniweka majaribuni ata pale moyo wangu unapokataa niseme tu ukweli Moyo wangu ni dhaifu kweli kweli

Nawaomba Ndugu zangu mnaonitakia mema mimi mr Zero iQ, mnipatie kazi itakayonikeep bizy almost 10 to 12,hours per day

Kama ikishindikana basi yeyote mweye karakana ya Aluminium yaani fundi wa kutengeneza milango, madirisha material yoyote ya aluminium aniunganishe hapo nipate ujuzi wa kunikeep bizy,

Pia kama kuna sehemu ya kutengeza sofa,vitanda na Nk. Niunganisheni hapo nikawe bizy huku najifunza ujuzi,

Note:
Kama hofu ni uhaminifu basi nitatoa
--Cheti changu cha kuzaliwa
--cheti cha kumaliza darasa la saba
--cheti cha kuhitimu kidato cha nne
--cheti cha kuhitimu course kilichosajiliwa na kutambuliwa na baraza la pharmacy Tz kwa mmiliki wa kazi.

Ps
--Location niko dodoma mjini kabisa

CC Zero IQ
 
hahahhaha watu wakiamua kutafuta kitu hua wanaanzia mbali... anyway kila la kheri mkuu katika kupata 'cha kuku keep busy'
 
Mkuu kuna watu hawapo busy kama wauza kiepe? Hawa huwa wanachoka sana kutwa yao aisee Chips yai chips mishikaki chips firigisi chips maini hapo wateja kila mmoja anakutizama wewe tu unakuaje haupo busy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, naomba nikupeleke Mpwapwa ukahudumie Nguruwe zangu...sehemu ya kulala na chakula ni juu yangu..ingawa ni mashambani but huduma zote muhimu zipo (maji,umeme n.k)
 
Mkuu kuna watu hawapo busy kama wauza kiepe? Hawa huwa wanachoka sana kutwa yao aisee Chips yai chips mishikaki chips firigisi chips maini hapo wateja kila mmoja anakutizama wewe tu unakuaje haupo busy

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huo ubizy upo lakini majaribu yake ndio nataka niyaepuke

CC Zero IQ
 
Mkuu kuna watu hawapo busy kama wauza kiepe? Hawa huwa wanachoka sana kutwa yao aisee Chips yai chips mishikaki chips firigisi chips maini hapo wateja kila mmoja anakutizama wewe tu unakuaje haupo busy

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, ebu kuwa muelewa...
Kijana ameweka wazi kitu cha kumkeep busy, sasa sisi wahenga tayari tumemuelewa mujarab kabisaaaaa...tehteehh [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom