Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Yaani mtu aliyekufundisha hilo neno..Mtoto mzowefu wa nunu eeehhh....!!??[emoji12] [emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani mtu aliyekufundisha hilo neno..Mtoto mzowefu wa nunu eeehhh....!!??[emoji12] [emoji12]
Mkuu,au ulikuwa unatania?Naomba kaichukue wewe mkuu kwa niaba yangu
CC Zero IQ
Mkuu,mi nko serious ujue.. usilete utani kama mtoa mada
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Ana wake wengi humu mbonaMkuu, ebu kuwa muelewa...
Kijana ameweka wazi kitu cha kumkeep busy, sasa sisi wahenga tayari tumemuelewa mujarab kabisaaaaa...tehteehh [emoji12] [emoji12]
Soma headingMkuu, ebu kuwa muelewa...
Kijana ameweka wazi kitu cha kumkeep busy, sasa sisi wahenga tayari tumemuelewa mujarab kabisaaaaa...tehteehh [emoji12] [emoji12]
Tupunguzie na wenzako watoto wazuri humu una wengi mno naweMkuu huo ubizy upo lakini majaribu yake ndio nataka niyaepuke
CC Zero IQ
Ooh samahani mkuu, ingekuwa kazi nyingine ningefanya ila kulisha nguruwe hapanaMkuu,mi nko serious ujue.. usilete utani kama mtoa mada
Hahaha!Ooh samahani mkuu, ingekuwa kazi nyingine ningefanya ila kulisha nguruwe hapana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mida ya jioni mara nyingi huwa nipo Waswanu,tutafutane tuone namna ya kusaidiana!Bado mkuu
CC Zero IQ
Kwa maana ya kuishi au ninapofanya kazi?Unapatikana wapi mkuu
CC Zero IQ
Mkuu nadhani si sawa kuweka hapa sehemu ninapofanya kazi!Sehemu ya kazi mkuu
CC Zero IQ