Nipeni machimbo ya weekend

Kahama ni levo zingine viwanja vingi sana, alafu ni karibu sana na shinyanga kuliko mwanza, mwanza mbali japo internationally starehe ila kahama karibu
Kahama. Kuna hela sana kuliko Shinyanga manispaa ndio maana hata Matamasha makubwa ya burudani like Fiesta, huwa yanaenda Kahama and not Shinyanga. Kuna chimbo moja linaitwa Magic 101. Bado liko hot?
 
Dhahabu zaidi Geita, Kahama. Bariadi kuna machimbo madogo madogo maeneo ya Dutwa, Gasuma.
Kuna mchepuko wangu wa zamani alikuwa na ofisi ya kununua dhahabu huko(bariadi) kwa wachimbaji wadogo wadogo, mwisho wa siku walimvamia na kumpiga mapanga wakachukua hela pamoja na dhahabu.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…