Hahahaaaaaa,,,,OK sorry mkuu ila akikuomba hela mwambie hunaPolepole dingi hapa ni chitchat matusi ya nini
Nimemuomba radhi mkuuSaa kulikuwa na haja gani ya kumporomoshea matusi yotehaya mwenzako?
Jiloweke kwenye maji kabisa ili ukichunnwa isiume.wadau kuna manzi moja ya ukweli nasoma nayo chuo niliirushia mistari ikazingua nikaipotezea.
Nashangaa sasa hivi imenitumia txt inataka kuongea vingi sana na mimi.Nachowaza huyo demu ana boom ila round hii kacheleweshewa kwa sababu alipata sup.sasa sijui ndo naenda kuchunwa
Naomba maoni na dua zenu wadau.