Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,588
- 22,752
Sasa sisi tutatambuaje nia yake.TUPIGE RAMLIwadau kuna manzi moja ya ukweli nasoma nayo chuo niliirushia mistari ikazingua nikaipotezea.
Nashangaa sasa hivi imenitumia txt inataka kuongea vingi sana na mimi.Nachowaza huyo demu ana boom ila round hii kacheleweshewa kwa sababu alipata sup.sasa sijui ndo naenda kuchunwa
Naomba maoni na dua zenu wadau.