Nipeni maoni yenu sijui ndo naenda kuchunwa

wadau kuna manzi moja ya ukweli nasoma nayo chuo niliirushia mistari ikazingua nikaipotezea.

Nashangaa sasa hivi imenitumia txt inataka kuongea vingi sana na mimi.Nachowaza huyo demu ana boom ila round hii kacheleweshewa kwa sababu alipata sup.sasa sijui ndo naenda kuchunwa

Naomba maoni na dua zenu wadau.
Sasa sisi tutatambuaje nia yake.TUPIGE RAMLI
 
wadau kuna manzi moja ya ukweli nasoma nayo chuo niliirushia mistari ikazingua nikaipotezea.

Nashangaa sasa hivi imenitumia txt inataka kuongea vingi sana na mimi.Nachowaza huyo demu ana boom ila round hii kacheleweshewa kwa sababu alipata sup.sasa sijui ndo naenda kuchunwa

Naomba maoni na dua zenu wadau.

soma mwanzo dogo -unadhindana na vizuri !! shindana na hela ndo inayo leta hao wa dudu
 
USIKATAE WITO KATAA NENO
ila jiandae baada ya maongezi lazima uombwe ela
 
Back
Top Bottom